19 Aug 2025 1:38 pm | Citizen TV 355 views Duration: 3:07 Baraza la wazee kutoka vijiji mbali mbali eneo bunge la Kasipul wameanza mchakato wa kuwaandaa viongozi wanaojitokeza kuwania kiti cha eneobunge la Kasipul kwenye uchaguzi mdogo ujao.