Wazee wafanya mazungumzo ya kuleta amani kati ya koo mbili zinazozozana katika kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    166 views

    Wazee kutoka jamii mbili zinazozana katika kaunti ya Garissa wameanza mkutano wa kuleta pamoja jamii hizo hasimu huku wito wa utulivu ukitolewa.