Wazee waliohudumu katika serikali ya Hayati Rais Mstaafu Daniel Moi

  • | West TV
    Wanasiasa wakongwe waliohudumu kama Wabunge na Mawaziri katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi wamejitokeza na kusimulia kumbukukumbu zao na Hayati Daniel Moi wakati wa uongozi wake