Waziri Aden Duale aagiza uchunguzi kufanywa kwa kifo cha mtoto KNH

  • | Citizen TV
    323 views

    Wizara ya afya imeagiza uchunguzi kuhusiana na kisa ambapo mwanamke alimpoteza mwanawe kwa kile amedai kuwa utepetevu wa wahudumu wa afya katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta.