- 90 viewsWaziri wa afya Aden Duale amewahakikishia walimu kuwa wizara yake inashughulikia malalamishi yao kuhusu matatizo ya utumizi wa bima ya SHA. Waziri duale akisema kuwa zaidi ya maafisa 400 wametumwa kaunti zote nchini kuangazia changamoto wanazopitia walimu kabla ya kuwasilisha ripoti. Walimu walikuwa wametishia kugoma wakisema sha imekuwa ikiwatesa