Skip to main content
Skip to main content

Waziri apuuza madai kuhusu nyongeza ya karo ya shule

  • | KBC Video
    311 views
    Duration: 2:22
    Wizara ya elimu imeondolea mbali wasi wasi miongoni mwa wazazi kufuatia madai ya kuongezwa kwa karo za shule za sekondari za umma.Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amepuzilia mbali ripoti kwamba karo hizo zimeongezwa kwa zaidi ya shilligi elfu sita akisema madai hayo ni ya uongo na ya kupotosha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive