Waziri bila majukumu Raphael Tuju ameponea kifo mara mbili

  • | Citizen TV
    Waziri bila majukumu Raphael Tuju ameponea kifo mara mbili Tuju alihusika kwenye ajali ya ndege Busia Januari 2003 Tuju pia alipata ajali ya barabarani akielekea mashishini Kabarak Operesheni katika hospitali ya Kijabe iliokoa maisha yake Sasa ameanza kampeni ya ufahadili wa vifaa vya matibabu vya kisasa Tuju anapania kutembea kilomita hamsini kuchangisha pesa