Waziri Chirchir aagizwa kutoa habari zaidi kandarasi ya kampuni ya Adani

  • | TV 47
    96 views

    Waziri wa uchukuzi Davis Chirchir sasa ametakiwa kurejea kesho mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuweka wazi kuhusu mkataba wa kandarasi ambao serikali ya kenya iliweka na kampuni ya Adani katika ukodishaji wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kwa miaka 30.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __