Waziri Chirchir aonya kuwa huenda umeme utapotea tena iwapo serikali haitashughulikia ipasavyo

  • | K24 Video
    44 views

    Waziri wa kawi Davis Chirchir ameonya kuwa huenda umeme utapotea tena iwapo serikali haitashughulikia ipasavyo miundombinu ya usambazaji umeme nchini .Waziri huyo amesema kuwa tukio la umeme kupotea jana lilichangiwa na upakiaji kupita kiasi wa nguvu za umeme katika kituo cha umeme cha Kisumu -Muhor