Waziri Duale aagiza uhakiki mpya wa wahudumu wa afya wa UHC

  • | NTV Video
    160 views

    Waziri wa Afya Aden Duale ametangaza wizara ya afya itaanza kuhesabu upya wahudumu wa afya wa UHC, hii ni baada ya mwenyekiti wa baraza la magavana Muthomi Njuki kutangaza kuwa kuna wahudumu hewa 3000 nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya