Waziri Duale aiata wizara ya usalama kusisitizia utulivu

  • | Citizen TV
    364 views

    Waziri wa Afya Aden Duale ameitaka wizara ya usalama wa kitaifa pamoja na afisi ya inspekata generali wa polisi kuweka mikakati zaidi ya kuhakikisha mali ya wananchi sawa na maisha yao yanalindwa wakati kuna maandamano nchini.