Waziri Duale asema hospitali 35 katika kaunti 15 zimefungwa

  • | Citizen TV
    271 views

    Wizara ya afya inatarajiwa kuwasilisha majina ya hospitali 35 kutoka kaunti 15 ambazo tayari zimefungwa na kwa sasa zikichunguzwa kwa madai ya kulaghai bima mpya ya afya ya SHA Mabilioni ya Pesa