Skip to main content
Skip to main content

Waziri Duale asema serikali iliingilia kuokoa hali ya Nairobi Hospital

  • | Citizen TV
    203 views
    Duration: 4:08
    Waziri wa afya Aden Duale naye pia amethibitisha namna serikali ilivyohusika katika kutanzua mvutano kuhusu Nairobi Hospital. Hata hivyo, akizungumza mjini Mombasa, Duale ametoa hakikisho kuwa hospitali hiyo inasalia ya kibinafsi na serikali tu imekuwa ikisaidia kulainisha huduma katika hospitali hiyo kubwa ya kibinafsi nchini.