Waziri Duale atishia kumtimua mmiliki Mediheal kwa uvuvi wa viungo binadamu

  • | NTV Video
    357 views

    Waziri wa afya Adan Duale anatishia sasa kumtimua mmiliki wa hospitali za Mediheal Daktari Swarup Mishra kwa kile amesema ni Mishra kuwajaribu kutishia serikali. Duale amesema tayari amefikisha ripoti ya kusikitisha ambako hospitali hiyo ilivuna viungo vya mwili vya binadamu na kuviuza.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya