Skip to main content
Skip to main content

Waziri Kagwe ameonya dhidi ya kugawa ardhi vipande vidogo

  • | Citizen TV
    391 views
    Duration: 2:07
    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amezitaka serikali za kaunti kukumbatia mfumo wa kushirikisha wawekezaji kama njia mojawapo ya kukuza kilimo nchini. Akizungumza kwenye kongamano la kilimo lililoandaliwa na Jumuiya ya kaunti za Pwani mjini Malindi, Kagwe anasema serikali ya kitaifa haiwezi kufadhili sekta hiyo asilimia mia moja. Kadhalika, Kagwe ameonya kuwa endapo ugawaji wa vipande vya ardhi hautadhibitiwa huenda ukaadhiri Kwa sekta ya kilimo nchini.