Waziri Kindiki afanya mkutano na na wakuu wa usalama kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    13 views

    Waziri wa usalama profesa Kithure Kindiki anafanya mkutano na wakuu wa usalama katika kaunti ya Lamu. Kindiki ambaye yuko katika ziara ya wiki tatu kaunti hiyo pia anafanya mkutano na kamati za ujasusi kaunti hiyo. Awali Kindiki alikutana na viongozi wa kidini na wa kisiasa wa kaunti hiyo kuhusiana na masuala ya usalama na maendeleo. baadaye atafanya baraza na wakazi katika eneo la Mkunguni.