Waziri Kindiki asema pombe haramu ni tisho kwa usalama

  • | KBC Video
    84 views

    Uuzaji wa pombe haramu na dawa za kulevya umebainishwa kuwa tisho kwa usalama wa kitaifa. Waziri wa usalama wa kitaifa Profesa Kithure Kindiki ametangaza hatua kali za kukabiliana na tishio hilo huku akilinganisha uuzaji wa pombe yenye sumu na dawa za kulevya na ugaidi na ujambazi. Kindiki ameagiza kuendelezwa kwa msakao wa wauzaji wa vileo haramu akiongeza kuwa kundi la pamoja la mashirika mbalimbali litashirikiana na serikali za kaunti kukagua leseni za baa zote na kufunga maduka ya kuuza pombe vijijini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive