Waziri Kindiki atangaza Good News International ni kundi la uhalifu

  • | K24 Video
    34 views

    Serikali imetangaza kuwa kanisa linalomilikiwa na mhubiri matata Paul Mackenzie kuwa ni kundi la uhalifu. Kupitia taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari ,waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ametaja kanisa la Good News international lililoko eneo la malindi kaunti ya Kilifi, ni la itikadi kali kama ilivyoainishwa katika sheria ya kukabiliana na makundi haramu kipengele cha sita mwaka wa 2010.