Waziri Kindiki awaonya walanguzi Mombasa

  • | Citizen TV
    343 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amewaonya walanguzi wa dawa za kulevya kuwa chuma chao ki motoni. Akizungumza jijini Mombasa katika eneo la Miritini, Kindiki amewataka walanguzi kujisalimisha la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria