Waziri Kithure Kindiki akutana na viongozi wa Kiambu ili kupambana na pombe haramu eneo hilo

  • | Citizen TV
    1,225 views

    Utovu wa usalama na unywaji wa pombe haramu umekithiri katika maeneo kadhaa ya kaunti ya Kiambu. Hali hii imemchochea waziri wa usalama Kithure Kindiki kuzuru eneo la Kiambaa na kuandaa mkutano na viongozi akiwemo gavana wa kiambu Kimani Wamatangi.