Waziri Kithure Kindiki ameagiza silaha ndogo nchini kutwaliwa

  • | Citizen TV
    1,539 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki ameagiza kutwaliwa kwa silaha zinazomilikiwa na raia kinyume na sheria. Hii anasema ni kwa lengo la kukabiliana na tisho la usalama kwa kenya na hata mataifa mengine kwenye kanda ya Afrika mashariki.