Waziri Kithure Kindiki awaomba wakenya msamaha kwa mara ya kwanza kufuatia maafa ya shakahola

  • | K24 Video
    96 views

    Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amewaomba wakenya msamaha kwa mara ya kwanza kufuatia maafa wa shakahola. Akizungumza mbele ya kamati ya seneti inayochunguza mashaka ya Shakahola, Kindiki amekiri kuwa idara ya usalama haikutekeleza wajibu wake ipasavyo huku akiahidi kuwa ataongoza mabadiliko katika asasi za usalama nchini.