Waziri Kithure Kindiki azindua ujenzi wa kituo cha GSU

  • | Citizen TV
    1,128 views

    Waziri wa usalama Prof Kithure Kindiki ameamuru walio na silaha haramu Transmara Magharibi kuzirejesha mara moja kabla ya operesheni za kuzitwaa kwa nguvu kuanzishwa.