Waziri Kuria aonya vyuo vikuu kuhusu usimamizi duni

  • | KBC Video
    18 views

    Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria amevitahadhirisha vyuo vikuu vya umma vinavyokabiliwa na changamoto za kifedha dhidi ya ubadhirifu wa fedha za umma. Waziri huyo alihusisha kucheleweshwa kwa malipo ya wafanyakazi na matumizi mabaya ya fedha katika taasisi za elimu ya juu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive