Waziri Kuria atoa wito wa utangamano wa viongozi

  • | Citizen TV
    179 views

    Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria amesema uwiano na utangamano ni muhimu katika kuleta umoja na amani nchini. Kuria alikuwa akizungumza katika kaunti ya Nyandarua wakati wa mazishi ya Mama Dorcas Wangari ambaye ni mamake Askofu JJ Gitari. Mazishi hayo yalihudhuriwa na naibu Rais Rigathi Gachagua aliyesema wakati umetimia wa kusulisha tofauti za kisiasa kwa njia ya amani