Waziri Linturi alaumu bodi ya KEBs kwa mbolea ghushi

  • | Citizen TV
    690 views

    Waziri wa kilimo Mithika Linturi sasa anaelekezea kidole cha lawana shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS na kampuni zilizosambaza mbolea, kwa sakata ya mbolea ghushi nchini. Waziri Linturi aliyefika mbele ya kamati ya Kilimo katika bunge la seneti pia akikanusha kuwa na uhusiano wowote na kampuni ya KEN Chemicals iliyohusishwa na sakata hii