Waziri Magoha asema uwasilishaji wa madawati shuleni uko shwari

  • | Citizen TV
    Wizara ya elimu imeridhishwa na mradi wa kuwasilishwa kwa madawati kwa shule zote za umma nchini uliogharimu serikali shillingi billioni 1.9. Kwa mujibu wa waziri wa elimu profesa george magoha, shuel zilizoko kaunti ya nairobi zimekabidhiwa madawati zaidi ikifuatiwa na kaunti ya Uasin Gishu na Siaya.