Waziri Magoha awahakikishia wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa karo yao haitaongezwa

  • | NTV Video
    Waziri wa elimu Profesa George Magoha amewahakikishia wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa karo yao haijaongezwa . Magoha amesema uamuzi huo bado haujatolewa na serikali bado inajadiliana na washika dau kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya