Waziri Malonza akana halmashauri sita ya ustawi wa Ki-Maeneo kuwekwa chini ya usimamizi wa kaunti

  • | KBC Video
    24 views

    Waziri wa jumuia ya Afrika Mashariki na ustawi wa Ki-Maeneo, Peninah Malonza ameondolea mbali hofu kwamba halmashauri sita ya ustawi wa Ki-Maeneo huenda zitawekwa chini ya usimamizi wa serikali za kaunti. Malonza amesema agizo la serikali la kuchunguza upya majukumu ya halmsahauri hizo za Ki-Maeneo linanuiwa kuepusha urudufishai majukumu katika enzi ya sasa ya mfumo wa ugatuzi. Wycliffe Oketch na taarifa kamili kuhusu ziara ya waziri Malonza katika kaunti za Kisumu na Homabay.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive