Skip to main content
Skip to main content

Waziri Mbadi apendekeza mageuzi kwenye katiba kwa maandalizi ya bajeti 2026

  • | Citizen TV
    325 views
    Duration: 2:59
    Waziri wa fedha John Mbadi sasa anataka mabunge yote mawili kuangazia marekebisho ya katiba ili kupunguza gharama ya serikali na mzigo mkubwa wa mishahara. Mbadi ambaye alikuwa mbele ya kamati ya bunge ya bajeti ameonya kwamba huenda uchumi wa nchi usiweze kumudu gharama hii ya juu na kwamba kati ya mapendekezo ya bajeti ya shilingi trilioni 4.7 trillion, pesa nyingi zitatumika kulipa mishahara