Waziri Migos aandaa mkutano wa kutatua misukosuko

  • | Citizen TV
    101 views

    Serikali imefanya mashauriano na vyama vinavyowakilisha wasimamizi na wafanyikazi wa vyuo vya TUK, UASU na KUSU ili kutatua mizozo inayopelekea migomo ya mara kwa mara