Waziri Mithika Linturi awarai wakulima kuuzia serikali mahindi yao

  • | Citizen TV
    136 views

    Serikali kuu kupitia wizara ya Kilimo imewataka wakulima wa mahindi nchini kutouza mahindi yao kwa bei duni kwa madalali na kampuni za unga na badala yake kuuzia serikali moja kwa moja.