- 28,586 viewsDuration: 2:07Mwanasiasa mashuhuri wa Senegal, Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 51, amechaguliwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Taifa, siku chache baada ya kuondolewa katika nafasi ya Waziri Mkuu na Rais Bassirou Diomaye Faye. Mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula na taarifa zaidi - - #bbcswahili #senegal #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw