Waziri mkuu wa kaunti ya Kilifi auwawa

  • | Citizen TV
    6,559 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Kilifi wanachunguza mauaji ya waziri wa uvuvi na uchumi wa baharini Rahab Karisa aliyeuawa nyumbani kwake eneo la Mnarani