Waziri Moses Kuria asutwa na viongozi wa Magharibi kwa juhudi za kuagiza mahindi kutoka nje

  • | West TV
    34 views
    Viongozi katika kaunti ya kakamega wamekashifu vikali matamshi yaliyotolewa na waziri wa biashara Moses Kuria kuhusiana na mpango wa kuagiza mahindi yaliyokuzwa kisayanzi au GMO kutoka mataifa ya kigeni.