Waziri mteule Oparanya apata wakati mgumu wa kijinasua kutoka kwa madai ya kuhusika katika ufisadi.

  • | K24 Video
    127 views

    Waziri mteule wa wizara ya vyama vya ushirika Wycliffe Ambetsa Oparanya amepata wakati mgumu kijinasua kutoka kwa madai ya kuhusika katika ufisadi.Akifika mbele ya kamati ya usaili ,Oparanya ametupilia mbali madai ya kuhusika na kutaja kuwa madai hayo yaliisukumiwa na siasa chafu ya waliokuwa wanamuandamana kutokana na ukaribu wake na kinara wa Azimio Raila Odinga. Aidha akijinasua kutoka kwa madai hayo Oparanya ametetea uteuzi wake huku akiorodhesha mikakati aliyonayo kuboresha wizara hiyo...