Waziri mteule wa Fedha john Mbadi aahidi kuhakikisha uchumi unakua

  • | Citizen TV
    781 views

    Waziri mteule wa wizara ya Fedha John Mbadi amelegeza msimamo wake mkali wa kuupinga mswada wa fedha wa 2024. Akijitetea mbele ya kamati ya uteuzi inayoongozwa na spika moses wetangula, mbadi aliyepiga kura ya la dhidi ya mswada huo ulipowasilishwa bungeni, alidokeza kuwa mswada huo una mapendekezo mazuri na mabaya . Serfine Achieng ouma ana maelezo.