Waziri mteule wa Kawi Opiyo Wandayi aahidi kupunguza gharama ya umeme nchini

  • | Citizen TV
    1,626 views

    Waziri mteule wa Kawi Opiyo Wandayi amesema kwamba anawania kupunguza gharama ya umeme kwa kutupilia mbali mkataba wa kambuni za kibinafsi zinazosambaza umeme kwa niaba ya serikali. Wakati huo huo, waziri mteule wa Utalii na Wanyama pori Rebecca Miano ametetea hatua ya kuongeza ada ya mbunga wa wanyama ya Maasai mara huku waziri mteule wa Biashara na Viwanda Salim Mvurya akiapa kukamilisha miradi ya special economic zones kwa lengo la kuendeleza viwanda nchini.