Waziri mteule wa madini Hassan Joho apinga tuhuma za ulanguzi wa mihadarati nchini

  • | Citizen TV
    1,128 views

    Waziri Mteule Wa Madini Na Biashara Hassan Ali Joho Alikuwa Na Kibarua Kizito Kutetea Elimu Yake, Alipofika Mbele Ya Kamati Ya Uteuzi Ya Bunge La Taifa Katika Siku Ya Mwisho Ya Msasa Huo. Joho, Alisema Alilazimika Kuwacha Shule Baada Ya Kukosa Karo, Lakini Sasa Anaendelea Na Masomo Ya Shahada Ya Uzamili Katika Chuo Kikuu Cha Harvard Nchini Marekani. Waziri Mteule Wa Leba Alfred Mutua Naye Alikabiliwa Na Maswali Ya Kutosha Kuelezea Namna Atakavyoshughulikia Tatizo La Ajira Nchini,Kama Anavyoarifu Emmanuel Too