- 1,101 viewsDuration: 2:33Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Musalia Mudavadi amewasili jijini Moscow urusi jioni ya leo na anatarajiwa kuwa na kikao na waziri wa kigeni wa taifa hilo, kujadili kusajiliwa kwa wakenya katika jeshi la Urusi kupigana vita kati ya yake na Ukraine.