18 Aug 2025 1:12 pm | Citizen TV 3,619 views Duration: 1:34 Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameelezea hofu ya kuibuka kwa magenge katika eneo la Kati, kufuatia uharibifu mkubwa uliotokea wakati wa maandamano ya juni na julai mwaka huu.