Waziri Murkomen asema daraja la wanaokwenda kwa miguu litaondolewa

  • | Citizen TV
    647 views

    Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amedokeza kuwa serikali imeanza mipango ya kuondoa daraja la miguu linalounganisha kisiwa Cha Mombasa na kusini mwa Pwani. Daraja Hilo lilijengwa na serikali iliyopita Kwa kima cha shilingi bilioni 1.9 Kwa misingi ya kupunguza msongamsno katika kivuko cha feri cha likoni.