Waziri Murkomen asema shilingi bilioni moja kutumika kwa ukarabati

  • | K24 Video
    65 views

    Serikali itawaandama waandalizi wa maandamano ya jana ili kugharamia hasara ya takriban shilingi bilioni moja iliyosababishwa na waandamanaji katika miundomsingi ya sekta ya uchukuzi. Kulingana na waziri wa barabara Kipchumba urkomen, zaidi ya watu hamsini wamekamatwa kuhusiana na uhariMbifu huo katika barabara ya express way na sehemu ya reli eneo la pipeline jijini Nairobi