Waziri Mutahi Kagwe: Kenya kudumisha uongozi katika sekta ya maua

  • | NTV Video
    80 views

    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe, ameelezea dhamira ya serikali ya Kenya kudumisha uongozi wa kimataifa katika sekta ya maua, na kutaka kuwepo kwa ubunifu, ushirikishwaji wa wadau mbalimbali kwenye sekta hiyo ili iwe na mchango mkubwa kwa uchumi wa nchi na katika kuunda ajira.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya