Waziri Mwandamizi Mudavadi awataka vijana kuzingatia umoja na amani wanapotekeleza wajibu wao

  • | NTV Video
    741 views

    Waziri Mwandamizi Musalia Mudavadi amewataka vijana kuwa makini na kuzingatia umoja na amani ya taifa wanapotekeleza wajibu wao wa kikatiba kupitia maandamano. Mudavadi amezungumza katika hafla ya kuzindua matokeo ya CBET hapa jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya