Waziri Nakhumicha aonya hospitali za kibanafsi zinazofanya utapeli wa NHIF

  • | K24 Video
    89 views

    Ilani imetolewa kwa hospitali za kibinafsi dhidi ya kutoza ada kubwa zaidi kwa wagonjwa wanaotumia kadi za hazina ya kitaifa ya afya NHIF kwa lengo la kujinufaisha wenyewe. Akizungumza baada ya kufanya mkutano na kamati ya hospitali ya kimishenari ya lugulu,waziri wa afya nchini susan nakhumicha amesema kuwa nyingi za hospitali zinatoza hazina hiyo kwa kupeana rekodi za uongo.