Waziri Nakhumicha: Hakutakuwa na kiwango wastani cha michango kwenye hazina ya bima ya afya ya jamii

  • | KBC Video
    43 views

    Waziri wa afya, Susan Nakhumicha amesema hawataweka kiwango wastani cha michango kwenye hazina ya bima ya taifa ya afya ya jamii. Nakhumicha amesema wale walio na kipato cha juu wanapasa kujiandaa kulipa fedha zaidi ili kufanikisha hazina hiyo huku akitetea manufaa yanayotokana na bima hiyo mpya ya matibabu. Makundi ya watu wanaopata pesa nyingi yakiongozwa na wabunge yalikuwa yanapendekeza kiwango wastani cha shilingi elf-5 kama mchango kwa hazina hiyo ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive