Waziri Ole Montet atangaza Bajeti ya Shilingi bilioni 6.37

  • | Citizen TV
    123 views

    Kama njia moja ya kuimarisha utenda kazi Serikali ya Kaunti ya Narok imetangaza kuwa inanuia kukusanya bilioni 6.37 kutokana na ushuru wa ustawi wa kiuchumi.