Waziri Oparanya asema wakulima wako huru kuuza kahawa kokote

  • | NTV Video
    8 views

    Waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya amesema kuwa wakulima wana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuuza mazao yao ya kahawa humu nchini na moja kwa moja katika masoko ya nje ya kimataifa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya