Waziri Owalo amewataka mashabiki wa Gor Mahia kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu hiyo Jumapili

  • | Citizen TV
    239 views

    Waziri wa habari na teknolojia, Eliud Owalo amewataka mashabiki wa Gor Mahia kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu hiyo Jumapili katika derby ya pili ya mashemeji ya msimu huu.